Seventh-Day Adventist Church

KIPANDE ADVENTIST CHURCH

Menu

MATEMBEZI YA VIJANA

Tarehe 16.03.2013 kutakuwa na maandamano ya vijana ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na matumizi ya tumbaku, nz bzngi. Matembezi hayo yataanzia katika eneo la chuo cha uhasibi TIA na kumalizikia katika viwanja vya Rwanda nzovwe

by Letta Stephen